Pages

March 30, 2014

RAIS DR. SHEIN AZINDUA BARABARA PEMBA

IMG_8160Barabara ya Chwale-Likoni ni moja ya barabara zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein, ikiwa tayari kwa matumizi ya wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba ambayo imetengenezwa na Kampuni ya h.yang ltd ya nchini  Kenya kwa udhamini wa Mfuko wa MCC.IMG_8168Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Virginia Blaser alipowasili katika uzinduzi wa Barabara  5 za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,barabara zilizozinduliwa Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya-Mzambarauni,Karimu-Finya-Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe.IMG_8192Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Changamoto za Milenia Tanzania Bw.Bernard S.Mchomvu,katika uzinduzi wa Mradi wa  Barabara 5 zilizojengwa na Mfuko huo wa Mcc Mkoa wa Kaskazini Pemba.IMG_8210Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,(kushoto) wakipata maelezo ya ramani ya michoro  ya ujenzi kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya Usafirishaji (MCA-T) Eng Salum I.H.Sasillo,alipofika kuzindua Barabara 5 za Mradi Mkoa wa Kaskazini Pemba zilizojengwa kwa udhamini wa Mfuko wa Mcc. 
IMG_8427Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakikata utepe  kuzindua barabara  5 za mradi zikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya-Mzambarauni,Karimu-Finya-Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.IMG_8435Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakifuatana baada ya kufanya uzinduzi wa barabara  5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,ikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya-Mzambarauni,Karimu-Finya-Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.IMG_8532Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba waliohudhuria katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Barabara 5 za Mradi,zilizojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa MCC,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipowahutubia leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba.
IMG_8603Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi katika shererehe za Uzinduzi rasmi wa barabara  5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.(kulia) Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Rashid Suleiman.IMG_8700Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba waliohudhuria katika sherehe maalum za Uzinduzi wa Barabara 5 za Mradi,zilizojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa MCC,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipowahutubia leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba.
IMG_8741Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,kwa pamoja wakibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Bara bara 5 za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia wa Watu wa Marekani (MCC) hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Gombani wilaya ya Chake chake Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...