Mjane wa marehemu Tupa Akiaga mwili wa mumewe mara baada ya kumalizika ibada nyumbani kwao Kilosa.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Tupa
katibu mkuu wa UWT Amina Makilaki akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la RC Tupa
katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romul akiwa katika foleni ya kwenda kuaga mwili wa marehemu Tupa.
Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu , Ana Tibaijuka na mkuu wa mkoa wa
tabora fatuma Mwasa wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Tupa.
Mwenyekiti
wa wazazi mkoa wa Morogoro Mecktridic Mdaku a na Juliana mwenda mjumbe
wa kamati wa Siasa ya mkoa wa Morogoro wakitoa heshima za mwishi kwenye
jeneza la mwili wa marehemu Tuapa.
IGP msataafu Omary Mahita akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Tupa
Mkuu wa wilaya ya Tanga Halima Dendego akitoa heshima za mwisho
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro Fikiri Juma akitoa heshima za mwisho
Viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro wakitoa heshima za mwisho
Mke wa marehemu akisindikizwa kuaga mwili wa mume wake marehemu Tupa
Viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Morogoro na mikoa mingine waliohudhuria mazishi
hayo wakifutilia ibada ya misa takatifu ya kumwombea marehemu Tupa.
No comments:
Post a Comment