Pages

March 26, 2014

KAMA ULIKOSA TUKIO LA RAIS WA KENYA,UHURU KENYATTA ALIPOTEMBELEA MAKAO MAKUU YA EAC HILI HAPA

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akizungumza na wananchi wa Namanga mpakani mwa nchi hiyo na Tanzania akiwa na Naibu wa Rais William Rutto

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta(kati) akivuka mpaka wa Namanga kuingia Tanzania akisindikizwa  Naibu wa Rais,William Rutto(shoto)na Balozi wa Tanzania nchini Kenya,Dk Batlida Burian

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Magreth Zziwa

Viongozi mbalimbali wa EAC wakifurahia hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta

Baadhi ya wafanyakazi wa EAC wakiwa kwenye kikao na Mwenyeikiti wa Vikao vya Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Uhuru Kenyatta.

 Baadhi ya wafanyakazi wa EAC wakiwa kwenye kikao na Mwenyekiti wa Vikao vya Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Uhuru Kenyatta.

PICHA ZOTE:rweyemamuinfo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...