Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa
baada ya kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya
dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22,
2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akibadilishana mawazo na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin
William Mkapa katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura
kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya
kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22,
2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimshukuru mwakilishi wa UNICEF nchini kwa mchango wa dola za kimarekani
100,000 huku Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William
Mkapa wakishuhudia katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya
dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22,
2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimshukuru mwakilishi wa NSSF Bw. Juma Kintu kwa mchango wa mfuko huo katika
hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na
vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi
1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika
harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya
Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 toka kwa wawakilishi wa PPF ukiwa
mchango wa mfuko huo katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya
dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22,
2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimshukuru Bi Lucy Kimei kwa kuwasilisha shilingi milioni tatu kama mchango wa
familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dkt Charles Kimei katika hafla ya
harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/
zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee
hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden
Tulip jijini Dar es salaam.
Rais mstaafu Mzee Benjamin
William Mkapa akimshukuru mwakilishi wa taasisi ya WAMA Bi. Caroline Mthapula
kwa mchango wa taasisi hiyo katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi
602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi
Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Radio One Bw.
Deo Rweyunga akitangaza mchango wa makampuni ya IPP ya kununua kifaa cha thamani
ya dola elfu 50 ) katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya
dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22,
2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam. PICHA NA
IKULU

Post a Comment