HABARI KATIKA PICHA ZA KAMPENI KALENGA TASWIRA ZA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA UBUNGE KALENGA


Kamanda Mawazo akiwa na makamanda wa Magulilwa wakiimba na kucheza kabla ya mkutano wa kampeni

Katibu Mkuu akifurahia jambo na mtoto mdogo wa Kijiji cha Magulilwa baada ya mkutano wa Magulilwa

Mgombea Grace Tendega akisalimiana na wakazi Kijiji cha Magulilwa baada ya mkutano wa kampeni

Mgombea akisalimiana na wananchi wa Magulilwa

Igumla, Kata ya Luhota, mgombea akisalimiana na wanafunzi

Post a Comment

Previous Post Next Post