ALLY BANANGA WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA KATA YA SOMBETINI

Mfanyakazi wa Tume ya Uchaguzi akiwa amebeba sanduku la kura

Wafuasi wa Chadema wakishangilia

 Wafuasi wa Chadema wakishangilia
Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kipigo alichopewa na Polisi wakati akishangila matokeo na wafuasi kabla matokeo rasmi hayajatangazwa

Post a Comment

Previous Post Next Post