Mwili wa Alpha ukishushwa kaburini wakati wa mazishi yake.
Mwili ukishushwa kaburini.
Baadhi ya waombolezaji. Aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya Barclays, Alpha Alfred Newa aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Gabriel Munisi Novemba 19 Ilala Bungoni amezikwa katika shamba la familia huko Goba jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Baba mzazi wa Francis Shumila (katikati), Shumila ambaye alikuwa shemeji yake Alpha aliuawawa katika shambulio hilo. Kushoto ni mama yake marehemu Francis Shumila.
Baadhi ya ndugu na jama wakipata chakula kabla ya kuanza zoezi la kuaga mwili.
Wazazi wa marehemu, Kaptaini Francis Shumila wakiwa msibani.
Ndugu wa marehemu Alpha Newa.
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu, Alpha Afred Newa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mbezi Beach.

No comments:
Post a Comment