Raushan DesignShroff TemplatesMafiaXDesign

WANAFUNZI WANUSURIKA BAADA YA GARI LA TAKA KULIGONGA BAADA KUHARIBIKA BREKI LEO

Wananchi wakishuhudia gari liliokua limebeba wanafunzi wa Shule ya Jaffary English Medium liligongwa na gari la taka likielekea dampo kuu la mkoa eneo la Muriet baada ya kuharibika breki leo mwanafunzi mmoja alijeruhiwa na kukimbizwa hospitalini.

Wakazi wa jijini Arusha wakishuhudia ajali ilivyotokea leo eneo la NMC,Unga Ltd.

Post a Comment

Previous Post Next Post