![]() |
| Wanafunzi wa darasa la Saba Shule ya Msingi Levolosi jijini Arusha wakiwasili kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi nchini. |
![]() |
| Wanafunzi wakibadilishana mawazo kabla kuingia kwenye mitihani yao ya mwisho. |
![]() |
| Mwalimu Mkuu wa shule ya Levolosi akizungumza na wanafunzi wake kabla ya kufanya mithani yao ya kuhitimu. |





Post a Comment