Pages

July 25, 2013

MAADHIMISHO YA MASHUJAA YAFANA MOROGORO.


 MKUU wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akitemka katika gari wakati akiwasiri katika viwanja vya mzunguko wa Posta kwa sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa iliyoadhimishwa kimkoa wa  Morogoro. 

 Kikosi cha jeshi la Polisi wakati wa gwalide la kuwakumbuka mashujaa.
 Askari  wa jeshi la Magereza akionyesha ukakamavu wakati wa gwaride hilo.

ASKARI wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) akiwa katika gwalide muda mfupi kabla ya kuelekea mnara wa posta ambako sherehe za kuwakumbuka mashujaa ilifanyika kimkoa. 
Chanzo;JUMAMTANDA.BLOG.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...