![]() |
Wasimamizi wakihesabu kura |
![]() |
Kura zikihesabiwa kwenye kituo cha Kaloleni |
![]() |
Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akiwa na mgombea udiwani kupitia Chadema,Emmanuel Kessy,James Ole Millya na wanachama wengine wakisubiri matokeo |
![]() |
Polisi wakiimarisha ulinzi Kaloleni |
![]() |
Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema akizungumza na wafuasi wa Chadema wakati wakisubiri matokeo Kata ya Elerai jioni hii |
![]() |
Wafuasi wa Chadema wameanza kusherekea ushindi |
No comments:
Post a Comment