![]() |
| Askari wa kike wakionesha ukakamavu wao. |
![]() |
| Kiongozi wa Korea ya Kusini,Kim Jong Un(kulia)akiwa na Makamu wake wa Rais na Makamu wa rais wa Zambia wakati wa gwaride la heshima likipita mbele yake mjini Pyongyong. |
![]() |
| Zana ya kurusha makombora ya masafa ya mbali. |
![]() |
| Zana za kazi na gwaride la kutimiza miaka 60. |
![]() |
| Hureeeeeeeeeeeeeeh |
![]() |
| Hawa ni raia wakionesha uzalendo wao wakiwa wameshika bendera ya nchi yao. |
![]() |
| Wapiganaji wastaafu wakimuunga mkono Kiongozi wao,Kim Jong Un. |
![]() |
| Halaiki ya Wakorea ilivyokolea |









Post a Comment