Pages

July 12, 2013

CHADEMA YAFICHUA MAUVU YAONYESHA PICHA ZA VIONGOZI WAKUBWA WA CCM WAKIWAFUNDISHA VIJANA WAO MBINU ZA KIJESHI

MKURUGENZI WA MAFUNZO WA CHADEMA BW KIGAILA AKIONYESHA PICHA YA MWENYEKITI WA CCM AKIKAGUA GWARIDE LILILOANDALIWA NA VIJANA WA ULINZI WA GREEN GUARD WA CHAMA HICHO MKOANI MWANZA HIVI KARIBUNI,JAMBO AMBALO WAMEHOJI KWANINI WAO WANANYIMWA KUFANYA HIVYO HUKU CCM WANARUHUSIWA.
HAPA AKIONYESHA WATOTO WA CCM WAKIWA WAMEBEBA KITU AMBACHO AMESEMA NI BUNDUKI NA WAKIFUNDISHWA JINSI YA KUZITUMIA JAMBO AMBALO AMESEMA KUWA NI HATARI SANA KWA AMANI YA TANZANIA
 BAADA YA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUTANGAZA RASMI KUWA CHAMA CHAKE KITATOA MAFUNZO MAALUM YA KUJILINDA KWA VIJANA WA WAO WA ULINZI, NA JESHI LA POLISI KUPIGA MARUFUKU JAMBO HILO KWA MADAI KUWA HUO UTAKUWA NI MAKOSA MAKUBWA,CHAMA HICHO KIMEKUJA NA JIPYA BAADA YA LEO MBELE YA WANAHABARI KUONYESHA PICHA AMBAZO ZINAONYESHA VIONGOZI WA CHAMA CHA CCM WAKUWAFUNDISHA VIJANA WAO MBINU ZA KIJESHA HUKU WAKIWA WAMEBEBA SILAHA JAMBO AMBALO WAMEDAI NI HATARI
 

AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO MKURUGENZI WA MAFUNZO WA CHAMA HICHO AMELITAKA JESHI LA POLISI KUANZA NA CCM BADALA YA KUWAKEMEA WAO KWANI VIKUNDI VYA ULINZI VYA CHAMA VIMESAJILIWA KWA MUJIBI WA KATIBA YA KILA CHAMA NA NI HAKI YA MTNZANIA KUJILINDA.

     AIDHA AMESEMA KUWA CHAMA CHAKE HAKIANZISHI VIKUNDI KWANI VIPO NA VIMESAJILIWA KINACHOFANYIKA NI KUWAPA MAFUNZO YA KULINDA CHAMA NA VIONGOZI WAKE KWANI WAMEGUNDUA CHAMA CHAKE HAKINA ULINZI KUTOKA KWA POLISI.

MAKAO MAKUU YA CHADEMA DAR ES SALAAM. CHANZO http://habari24.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...