Askari Polisi na Mgambo wa Jiji na FFU wakiimarisha ulinzi katika eneo la Manzese jijini Dar es salaam jana, baada ya kutokea vurugu kati ya mgambo na Wamachinga zilizosababisha barabara ya Morogoro kufungwa kwa muda kwa saa tatu.Picha na Fidelis Felix
No comments:
Post a Comment