| Wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakiingia mkoa wa Arusha kwa kishindo |
| Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo(kulia)akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Karatu Mwenge wa Uhuru ukimbizwe wilayani humo |
| Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2013,Juma Ali Simai akisoma kibao baada ya kuzindua jiko katika Shule ya Msingi Jangwani.Mto wa Mbu,Monduli |
| Mkuu wa wilaya ya Monduli,Jowika Kasunga akizungumza wakati wa kuweka jiwe la msingi la josho la mifugo katika Kijiji cha Losirwa Kata ya Esilarei |
| Burudani ilikuwepo ya kutosha |
| Mkuu wa wilaya ya Karatu,Felix Ntibenda akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa wilaya ya Monduli,Jowika Kasunga |
| Mwenge wa Uhuru |
| Wanafunzi wa Shule ya Msingi Jangwani wakifurahia Mwenge wa Uhuru |
| Wadau wakichukua kumbukumbu za mbio za Mwenge katika Shule ya Sekondari,Edward Lowassa |
| Wadau wakiwa ndani ya gari namba moja |
| Wadau wanameremeta |
| Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo(kushoto)akimkabidhi zawadi kiongozi wa mbio za Mwenge,Juma Ali Simai.Picha zote na Filbert Rweyemamu |

Post a Comment