Pages

May 16, 2013

SHULE YAKABIDHIWA DARASA LILILOJENGWA NA WAFADHILI KUTOKA MAREKANI LILILOGHARIMU TSH 8.5 MILIONI,NAIBU WAZIIRI APONGEZA

Mkuu wa Shule ya Oldonyowas,Jolly Kimaro akiwakabidhi wafadhili hati ya shukrani ya kutambua Bi Antoneitte na mumewe Shawn Addison

Naibu Waziri,Goodluck Ole medeye akipokea zawadi na mzee wa kimila "laigwanan" wa kijiji cha Oldonyoasambu  kama shukrani  kutambua mchango wake katika kusaidia sekta ya elimu kijijini hapo,kushoto ni Diwani wa Kata Oldonyosambu, Ealisante Nassari .


Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Goodluck Ole Medeye  akiwapa zawadi ya kimila wafadhili waliojenga darasa katika shule

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi,Goodluck Ole Medeye ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi akiweka jiwe la msingi katika  darasa lililojengwa kwa msaada .Picha zote na  Janeth Mushi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...