![]() |
| Rais Uhuru Kenyatta akitua Tanzania kwa mara kwanza tangu achaguliwe kuongoza taifa hilo |
![]() |
| Rais Jkaya Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais Kenyatta,Margareth mara baada ya kuwasili,kulia ni Rais Uhuru Kenyatta |
![]() |
| Rais Kenyatta akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Margareth Nantongo |
![]() |
| Rais Kenyatta akisalimiana na maafisa wa EAC |
![]() |
| Rais Kenyatta akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Liberatus Sabas |
![]() |
| Hatimaye ilifika zamu ya Mkuu wa wilaya ya Arusha,John Mongela kumsalimia Rais Kenyatta |
![]() |
| Burudani haikuwa nyuma kutoka JKT Oljoro |
![]() |
| Burudani nyingine kutoka kwa jamii ya wamang'ati wa Ngorongoro |
![]() |
| Wanafunzi wakifurahia kupata taswira na Mkuu wa nchi,Rais jakaya Kikwete |










Post a Comment