RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MUUNGANO UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama
lililoandaliwa maalum kwa ajili maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Uhuru leo jijini
Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama
vya Siasa na Mabalozi pamoja na wageni waalikwa mbalimbali ili
kushuhudia maadhimisho hayo.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA
WA UHURU)Rais Dk. Jakaya Kikwete akikagua kikosi cha Jeshi la Magereza wanawake wakati wa maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment