Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na taka mkoa
wa Arusha(Auwsa)Mhandisi Ruth Koya akizungumza na waandishi wa habari juu
ya hatua mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo kukabili upotevu wa maji na na
kuongeza visima zaidi.picha na Filbert Rweyemamu
|
No comments:
Post a Comment