Home MATUKIO KATIKA PICHA YA MAADHIMISHO YA 31 YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA DHIDI YA WATUTSI JIJINI ARUSHA LEO rweyemamuinfo.blogspot.com 2:52 PM 0 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Veronica Nduva (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Arusha,Joseph Mkude wakiwasha mshumaa katika maadhimisho hayoAfisa mwandamizi wa Ubalozi mdogo wa Rwanda jijini Arusha akiweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu makao makao makuu ya EACWafanyakazi wa EAC na jumuiya ya wanyarwanda wanaoishi Arusha na wakazi wa jiji la Arusha kwa ujumla katika maandamanoBlass band ya Jeshi la Polisi ikiongoza kwenye maandamano
Post a Comment