Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru
mara baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya jumapili
iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru
kwa kusali pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri Mkuu
Mama Mary Majaliwa mara baada ya wote kwa pamoja kushiriki Sakramenti
Takatifu katika Ibada ya Jumapili iliyofanyika katika Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika Ibada ya Jumapili pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli. Ibada
hiyo ya Jumapili ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wanakwaya
kutoka Chuo cha Ardhi jijini Dar es Salaam wakiimba kwenye Ibada hiyo
ya Jumapili ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia
ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika Ibada ya Jumapili na Mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke
wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Fr. Asis
Mendokta akihubiri katika Ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka
Kanisani pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli mara baada ya Ibada ya
jumapili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia
ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua
Nakala za CD ya kwaya kutoka Chuo cha Ardhi mara baada ya Ibada. Kushoto
ni Mke wake Mama Janeth Magufuli akifurahia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Kalenda mara baada ya kupewa na moja ya Waumini wa Kanisa hilo mara
baada ya Ibada ya jumapili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na waumini wengine mara baada ya ibada ya jumapili
iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment