Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza katika hafla
fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la
kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa
huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam
Septemba 29, 2017. Hafla hiyo pia iliambatana na uzinduzi wa wiki ya
huduma kwa wateja.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
hiyo, Dkt. Charles Kimei, kuzungumza katika hafla fupi iliyoandaliwa na
Benki hiyo kwa wateja wake
wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao
juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena,
jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi
wa Mikakati na Ubunifu wa Benki ya CRDB, Goodluck Nkini akizungumzia
mikakati mbalimbali ya Benki hiyo kwa wateja wake, wakati hafla fupi
iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake
wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao
juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena,
jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi
wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru akisisitiza jambo katika hafla
fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo
la kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa
huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam
Septemba 29, 2017.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHTCesiZO2nn6BiSBDHOANaJ7AcDSaU_3DNkvTRoR2noS5YOd1Ez_6HKy5O7M8BQhsBmxdL4uMTjQ5d4Wy5JIRwAMX7pS1IChH2oM8z2pu2O3n2QoRTZ7wnVz1s4v-ZM68826nDWUe3qDY/s640/ot+pic-0547.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDaLojcnHLzHcnIL_jgcKpXlsRLWX8tmPklGJM2PGl_eLJyi2dcZdDw1t-gZJH4iu3O0Dv7ZiNaycHXDfMYuiJhLxZB-fWh0ixXqxcFBD_wCs9GL9OFEw1lUWnXiZ1IejsxJzO2pxGTNNP/s640/ot+pic-0439.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTNDL8dGDcFsN9snbH_hZcTsg_eR9-2jFSOhIDnMCPcshrceQZXfJnrp0oM_21G0Q6X0bK49NZbi13WflCU-VVs-egCvNXHy-d7tn8kgAC3yuqFM7G0fl2muY-8_l3BZZzo06Xgai08nPx/s640/ot+pic-0817.jpg)
Sehemu ya Wageni waliofika kwenye hafla hiyo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUGTGAztJw5EoJa1oIPv0cB4ngLlPwn0K05kT4_k2hjBcLJlY5bQz0pJJ3ep0fsIGqs_j6PzBORwWjqTpPIyWczxgCVFqo8QzYHmwhbk98-e3JBNAEyOpXzHjaJGPiTVz1fORd30EGygnJ/s640/ot+pic-0747.jpg)
Baadhi ya Watendaji wa Benki ya CRDB
Picha ya Pamoja.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZ5JeYl-ns39TuFXB6C7VPzgoPP5vOgeTX1kCICoQy8oVv6na0MEJEZtqkO0Glt_jxphgzf6sv_ciutszI9-qeq7AxZK-JCqkvqnMAHraGoB6xPaDsDMEtluqiIts7PYH7-Qqz7y4ZyhyphenhyphenO/s640/ot+pic-0904.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCxDgg4TQubOJ3qKwOo5itUApOJQOzQwmij6_IcoVU1645vcUEFODtH2qPCvcmcJFouf77PZFbhYl0Ud5fy9WrIXwSJ7J4hKEsuu6zT2TlDGgVkAX2p3nE7EHT9gZNChDAeuAX_D5DmEIG/s640/ot+pic-0914.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akisikiliza
jambo kutoka kwa Mmoja wa wateja wakubwa wa Benki hiyo, Waziri wa
Zamani, Prof. Peter Msola, wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na Benki
hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la kuwafahamisha fursa mpya na
kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa huduma bora, iliyofanyika
kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam Septemba 29, 2017.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akifurahi jambo na Mteja
wa Benki hiyo, Mhandishi Felchesmi Mramba, wakati wa hafla fupi
iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la
kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa
huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam
Septemba 29, 2017. Kushoto ni Soud Bhalaghash kutoka Kampuni ya
Supeldoll.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akibadilishana kadi na
Mmoja wa wateja wakubwa wa Benki hiyo, Yohana Mtweve, wakati wa hafla
fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake wakubwa, yenye lengo la
kuwafahamisha fursa mpya na kukusanya maoni yao juu ya njia za kuwapa
huduma bora, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam
Septemba 29, 2017.
No comments:
Post a Comment