Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wadau mahususi wa korosho
katika hotel ya Tanga Beach mjini Tanga unaolenga kutoa muongozo wa
ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza 0ctober 01,
2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la
Korosho,wilaya na Halmashauri.
Waziri
wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dkt Charles Tizeba akizungumza katika mkutano
huo unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya
unaotarajiwa kuanza Octoba 1 mwaka huu.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Hassani Jarufu akizungumza wakati wa mkutano huo unaolenga
kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa
kuanza 0ctober 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa
inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri .
Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania,Mama Anna Abdallah akizungumza wakati wa mkutano huo unaolenga
kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa
kuanza 0ctober 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa
inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri .
Washiriki
wa mkutano huo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kulia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha
Tumbo
Wadau wakifuatilia makrabasha mbalimbali kwenye mkutano huo
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo,Alhaj Majid Mwanga kushoto akifurahia jambo wakati wa mkutano huo
Mbunge
wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete kulia akiteta jambo na baadhi wa
washiriki wa mkutano huo leo uliofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach
Resort mjini Tanga.
Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Mnauye akiteta jambo kabla ya kuanza kikao hicho
Mbunge
wa Jimbo la Mtwara Vijijini (CCM) Hawa Ghasia akiteta jambo na Mbunge
wa Jimbo la Mlalo (CCM) Rashidi Shangazi wakati wa kikao hicho mapema
leo ambao ulifunguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa
Maji Marefu akisalimia na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Ridhiwani
Kikwete wakati wa kikao hicho
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto ,Ummy Mwalimu
akisaliana na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kabla
ya kuanza mkutano huo
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira na Muungano
Januari Makamba akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM)
Ridhiwani Kikwete
Sehemu wa washiriki wa mkutano huo wakifuatilia matukio mbalimbali
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akifuatilia kwa umakini mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo,Mathew Mtigumu katikati akimsikiliza kwa umakini
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi wakati wa kikao hicho
kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia
Muungano Mazingira,Januari Makamba
Baadhi ya washiriki wakiendena na mkutano
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa katika akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo.
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment