Balozi
wa Cuba nchini Tanzania, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo
akizungumza na baadhi ya wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
(MNH) wakati akiitembelea leo. Kushoto ni Mratibu wa madaktari wa Cuba
nchini, Dk Maylen Lopez. Kutoka kushoto wa tatu ni Mkurugenzi wa
Rasilimali Watu Muhimbili, Makwaia Makani, Mkurugenzi wa Upasuaji, Dk.
Julieth Magandi, ofisa Idara ya ufundi, Mkurugenzi wa Tiba, Dk. Hedwiga
Swai, Mkurugenzi Mtendaji, Profesa Lawrence Museru na Mkurugenzi wa
Ufundi, Gaudence Aksante.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru
akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Profesa Lucas Domingo Hernandez
Polledo. Kulia ni Mkurugenzi wa Ufundi, Gaudence Aksante.
Balozi
wa Cuba nchini, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo akimsikiliza
Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Profesa Museru leo kabla ya kutembelea
maeneo ya kutoa huduma katika hospitali hiyo.
Balozi wa Cuba na baadhi ya wafanyakazi wa hospitali hiyo wakiwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU).
Ujumbe kutoka Ubalozi wa Cuba ukiwa katika chumba cha upasuaji Muhimbili leo.
Baadhi ya wakurugenzi wa Muhimbili wakiwa katika picha ya pamoja na ubalozi wa Cuba leo baada ya kuitembelea hospitali hiyo.
No comments:
Post a Comment