Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed
Mahamoud alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa baraza la
wawakilishi mnazi mmoja mjini unguja katika mkutano maalum wa walimu wa
skuli za sekondari za unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe
Juma alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa baraza la
wawakilishi mnazi mmoja mjini unguja katika mkutano maalum wa walimu wa
skuli za sekondari za unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma
pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa
Zamani wa Baraza la Wawakilishi mnazi mmoja Mjini Unguja katika mkutano
maalum wa Walimu wa Skuli za Sekondari za Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali alipowasili katika
viwanja vya ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini
Unguja katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za Sekondari za unguja.
Baadhi
ya Walimu wa skuli za Sekondari za Unguja wakiwa katika mkutano wa
pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la
zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
Baadhi
ya Walimu wa Skuli za Sekondari za Unguja wa Mikoa Mitatu ya Unguja
wakiwa katika mkutano wa pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika leo katika ukumbi
wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
Viongozi
mbali mbali wa Serikali wakiwa katika mkutano maalum wa walimu wa skuli
za Sekondari za Unguja, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
Baadhi
ya Watendaji mbali mbali wakiwa katika mkutano maalum wa walimu wa
Skuli za Sekondari za Unguja, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment