Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai
akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak
aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wakwanza kulia ni Bw. Blevin
Claude Afisa wa Ubalozi huo.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai
akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak wakati
akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai
akimueleza jambo Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak
aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akiagana
na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak mara baada ya kuzugumza
naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Post a Comment