Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli
maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam jana mchana, wakati
akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.
Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana
Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia
habari hiyo.
Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana
Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao
baada ya kupatiwa dhamana
waumini hao wakiwa kituoni hapo.
Waumini
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu
Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema
yesu yesu baada ya kupewa dhamana katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar
es Salaam.
Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua
Askofu Gwajima.
No comments:
Post a Comment