Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo(wa pili kushoto) akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Uongozi ESAMI jijini Arusha baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara Jumamosi. |
Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini,Badra Masoud akiwa na wadau |
Badra Masoud akiwa na watoto wake waliofika kumpongeza |
Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini,Badra Masoud akiwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Irene Ongiri aliyefika kumpa tano |
No comments:
Post a Comment