Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi
Baadhi ya wanachi wakijaribu kumungalia binti huyo akiwa ana fahamu huku akiwa katika kichochoro huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini Kahama.
Askari polisi wa kituo cha polisi Kahama Thomas Munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi
No comments:
Post a Comment