Pages

August 7, 2018

NAIBU WAZIRI WA ELIMU AVUTIWA NA MATUMIZI YA VIFAA VYA KISASA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

Naibu Waziri wa Elimu,William Ole Nasha(kulia) akizungumza jambo na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Masudi Senzia alipotembelea chuo hicho.

Naibu Waziri wa Elimu,William Ole Nasha(katikati) akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Mitambo wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Hamis Mwahu(kushoto) alipotembelea Karakana ya mitambo yenye vifaa vyenye thamani ya Sh 14 bilioni,kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho,Dk Masudi Senzia.

Sehemu ya Mitambo ya kisasa iliyonunuliwa na serikali kwaajili ya kuwapa ujuzi wanafunzi wanaosoma ufundi.

Naibu Waziri wa Elimu,William Ole Nasha(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Mitambo wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Hamis Mwahu(kushoto) alipotembelea Karakana ya mitambo yenye vifaa vyenye thamani ya Sh 14 bilioni,wa pili kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho,Dk Masudi Senzia na Afisa Elimu mkoa wa Arusha,Gift Kyando.

Naibu Waziri wa Elimu,William Ole Nasha(kushoto) akisikiliza maelezo ya namna wanavyotumia vifaa vya kisasa kwenye mafunzo ya uchomeleaji kwa kutumia umeme na gesi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...