Pages

July 3, 2018

BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU

Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Renger Kanani akiwasilisha matokeo ya utafiti uliosimamiwa na Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT) kuhusu Kilimo cha Mkataba katika mazao ya Mbogamboga na Matunda wilayani Arumeru mkoa wa Arusha.

Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa uwasilishwaji wa matokeo ya utafiti ulioratibiwa na Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT) wakifatilia matokeo ya utafiti huo ambao umebaini kuwa kilimo hicho kuwa na manufaa kwa wakulima licha ya changamoto mbalimbali.

Afisa Kilimo wa halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha,Grace Solomon akichangia katika mdahalo huo baada ya matokeo ya utafiti kuwasilishwa.

Mkurugenzi wa kampuni ya Homeveg(T) Limited,Mussa Mvungi akichangia katika mdahalo huo baada ya matokeo ya utafiti kuwasilishwa.

Diwani wa Kata ya Nkoaranga halmashauri ya Meru,Zephania Mwanuo akichangia katika mdahalo huo baada ya matokeo ya utafiti kuwasilishwa.

Afisa Mhamasishaji Uanachama wa Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT),Khalid Ngassa akielezea madhumuni ya utafiti huo kuhusu Kilimo cha Mkataba kwenye ya Mbogamboga na Matunda katika wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.

Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa uwasilishwaji wa matokeo ya utafiti ulioratibiwa na Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT) wakifatilia matokeo ya utafiti huo ambao umebaini kuwa kilimo hicho kuwa na manufaa kwa wakulima licha ya changamoto mbalimbali.No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...