Mara
tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Rais wa Zimbabwe
aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea.
Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye
anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu alianguka
akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia,
Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)
1. Alianza Kushuka Katika Ngazi
2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza
3. Tayari amedondoka chini
No comments:
Post a Comment